MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI AWATAKA WANASHERIA KUONGEZA UMAKINI KATIKA KUTOA USHAURI WA SHERIA ZA M...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari amewataka Wanasheria kuwa walinzi na kuongeza umakini katika kutoa ushauri wa sheria zinazohusu mazingira kwa maslahi ya taifa.Mwanasheria Mkuu wa Serikali ameyasema hayo tarehe 3 Septemba, 2025 wakat...