Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza S. Johari (kushoto) akimkabidhi nyaraka Mgeni Rasmi na Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Halima O, Dendego (kulia) wakati wa Uzinduzi wa Kamati ya Ushauri wa Kisheria ngazi ya Mkoa na Wilaya na Kliniki ya Sheria bila malipo, uliofanyika tarehe 19 Mei, 2025 katika Viwanja vya Stendi ya zamani Manispaa ya Singida,