Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali yatunukiwa Cheti cha heshima
Imewekwa:
24 Jul, 2024
HABARI PICHA
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali yatunukiwa Cheti cha heshima kwa mchango wake katika kufanikisha Kikao cha 77 cha Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu.

