Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Samwel M. Maneno akisaini Kitabu cha Wageni katika Banda la Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wakati wa Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba, tarehe 7 Julai, 2025, maonesho hayo yanaendelea katika Viwanja vya Sabasaba Jijini, Dar es Salaam.