The United Republic of Tanzania
The Office of the Attorney General

NEWS IN PICTURE

NEWS IN PICTURE

Watumishi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wakishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ( Mei Mosi) tarehe 1 Mei ambapo katika Mkoa wa Dodoma maadhimisho hayo yamefanyika katika Uwanja wa Jamhuri na mgeni rasmi akiwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary S. Senyamule

Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani 2026 Kitaifa yanafanyika Mkoani Njombe ambapo Mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Maadhimisho hayo yameambatana na Kauli Mbiu isemayo "Kazi zenye staha ni nguzo imara kwa maendeleo endelevu katika utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050".