Zoezi la Mawakili wa Serikali Kujisajili na Kujaza Taarifa Zao kwenye OAG - MIS
Imewekwa:
27 Apr, 2022
Wanasheria wa Serikali waliopo katika Utumishi wa Umma, mnaendelea kukumbushwa kwamba, zoezi la kuratibu wanasheria walioko katika Utumishi wa Umma hapa nchini linaendelea. Kufuatia zoezi hilo, Wanasheria Wote mnaendelea kukumbushwa kujaza taarifa zenu kwa ukamilifu katika Mfumo huu wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ( OAG-MIS). Zoezi hili ni kwa mujibu wa Sheria