Mwanasheria Mkuu wa Serikali ahudhuria sherehe ya 68 ya kuwapokea Mawakili wapya
                            
                                 
                                Imewekwa: 
                                11 Jul, 2023
                            
                        
                    
                        Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Jaji Dkt, Eliezer Mbuki Feleshi alikuwa mmoja wa Viongozi waliohudhuria shere ya 68 ya kuwakubali na kuwapokea mawakili wapya 195.
Shere hiyo ilifanyika Julai 6/2023 katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam ambapo Mgeni rasmi alikuwa ni Jaji Mkuu wa Tanzania
kupokelewa wa Mawakili hao 195 kunafanya idadi ya Mawakili kufika 11,637

