HABARI PICHA
Imewekwa:
21 Dec, 2025
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Jaji George Masaju amekutana na kufanya kikao na Wajumbe wa Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo, kikao hicho kilifanyika Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania Jijini, Dodoma.
Aidha, Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Samwel Maneno ameshiriki kikao hicho kilichojadili namna ya kuboresha utoaji wa elimu ya Sheria hususan katika Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo

