Kikao cha kuwakaribisha Watumishi wapya waliohamia hivi karibuni na kuajiriwa na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Imewekwa:
20 Jun, 2024

HABARI PICHA
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Jaji Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi amefanya kikao cha kuwakaribisha Watumishi wapya waliohamia hivi karibuni na kuajiriwa na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kikao hicho kimefanyika tarehe 19 Juni 2024, Jijini Dodoma