HABARI PICHA
Imewekwa:
17 Apr, 2025

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza S. Johari amekutana na Ujumbe kutoka Benki ya TCB plc uliomtembelea kwa lengo la kujitambulisha na kueleza huduma zinazotolewa na benki hiyo, tarehe 16 Aprili, 2025 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Ujumbe huo umeongozwa na Mkurugenzi wa Huduma za Sheria, Bw. Dotto Kahabi ambaye aliambatana na Meneja Mkuu wa Huduma za Sheria, Bi. Marydensia Katemana, Meneja wa Tawi la Capital Dodoma, Bi. Asia Mwangonela pamoja na Meneja wa Mahusiano - Taasisi, Bi. Elisipher Mollel