Chama cha Mawakili wa Serikali chapata viongozi wapya wa Mwaka 2024
Imewekwa:
23 Mar, 2024

Katika Mkutano wake wa Mwaka 2024, Chama cha Mawakili wa Serikali kilifanya uchaguzi wa viongozi kwa mara ya Kwanza tangu kuzinduliwa kwa Chama hicho mwaka 2022