WIKI YA KLINIKI YA SHERIA

Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ilianzisha Kliniki ya Sheria bure kwa Wananchi wa Jiji la Dodoma. Haya ni baadhi ya mafanikio ya Kiliniki ya utoaji wa elimu na ushauri wa Kisheria.