ZIARA YA WAZIRI MHAGAMA KUKAGUA JENGO LA OMMS -MTUMBA

Tarehe 6/5/2023 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu ( Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama alitembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Jengo la Makao Makuu ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mtumba