Utiaji saini Mkataba Ujenzi wa Jengo la OMMS Arusha

Februari 16/2023 Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Kampuni ya Ujenzi ya SUMAJKT zilitia saini mkataba wa ujenzi wa jengo la OMMS litakalo jengwa Mkoani Arusha