Mkutano Mkuu wa Mawakili wa Serikali Septemba 28-30, 2022
Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiteta jambo na Mhe. Jaji Dkt. Eliezer Feleshi Mwanasheria Mkuu wa Serikali wakati wa Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mawakili wa Serikali Septemba 29,2022