MAPOKEZI YA NAIBU MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI
Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali amekaribishwa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika hafla fupi iliyofanyika katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mkoani Dar es Salaam