makabidhiano ya Vifaa vya Tehama
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Jaji Dkt. Eliezer Feleshi jana Jumatano amekabidhiwa komputa mpakato 150 ambazo Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ametoa kwajili ya Mawakili wa Serikali