Mafunzo ya Maafisa wa Serikali

Maafisa 37 kutoka Taasisi mbalimbali za Serikali wameshiriki mafunzo ya siku nne ya kuwajengea uwezo kuhusu masuala ya madini, mafuta na gesi