Kutoka Bunge la Bajeti

Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mkutano wake wa Kumi na Moja, Kikao cha Kumi na Mbili limepitisha bajeti ya Wizara ya Katiba na Taasisi zake