KIKOSI KAZI UREKEBU WA SHERIA

kikosi kazi cha urekebu wa sheria kinakutana Mkoani Iringa kwa zoezi la kuzipitia na kuzihakiki sheria zote ambazo zimekwisha fanyiwa urekebu