HABARI PICHA
Imewekwa:
11 Nov, 2025
Menejimenti ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali imekutana na kufanya Kikao na ujumbe kutoka Tume ya Utumishi ya Umma(TUU), kikao hicho cha Ufunguzi wa Ukaguzi wa Uzingatiaji wa Sheria katika Usimamizi wa Utumishi wa Umma kimefanyika katika Ofisi za Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma, Tarehe 11 Novemba, 2025 .
Ujumbe huo umeongozwa na Balozi Adadi Rajabu Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma, Athanas A. Mwitwe Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Neema D. Mkenda Mkaguzi Kiongozi, Editha D. Rumanzi Mkaguzi na Daudi H. Mhina Mkaguzi

